Friday, April 10, 2015

MATANGAZO YA KANISA LUGALO 11/04/2015

MATANGAZO YA KANISA LUGALO 11/04/2015
1.UKARIBISHO: Tunawakaribisha wageni na
         wenyeji  wote katika Ibada takatifu  ya leo
             2.WAHUDUMU WA LEO  TRH11/04/2015     
NAFASI
LUGALO
Mhubiri
Furaha Luhambati
M/Kiti
Ambakisye Lwesye
F/ Kuu
Kalebu Waigama
Sadaka
Michael Nyachiel
 3) MASHEMASI WA ZAMU 11/04/2015       
Goglive Charles
Habiba Magoma
Yusuph Shedura
Paulo Masero

4)WAHUDUMU WA WATOTO  11/04/2015      
NAFASI
JINA
Mhubiri
Edson Ngalla
M/kiti
Clara Ambakisye
F/ kuu
Flora Kenedy
Sadaka
Rahel Mathayo

4) MATANGAZO YA KANISA
a).Maombi  ya kila siku  J,pili Alfajiri yanaendelea, Jumapili  Saa 11:30 -12:00 Asubuhi kipindi hicho cha maombi kitaongozwa na. Marwa Musabi.

b) Usomaji wa Biblia kwa  Mpango unaendelea na wiki hii tunasoma kitabu cha 2Kor  12- Wag 6.

c) Makamati ya Makambi ya Kanisa ya Mwaka 2015 Inaombwa kukutana chini ya M/kiti wa Matrida Charles leo mara tu ya Ibada.
d) Chama ya Dorkasi Kinawakumbusha Washiriki wanaohitaji Kuweka Order ya chakula kila sabato wamuone Matrida Charles Kabla ya Jumatano.

e ) Kanisa kupitia idara ya Mawasiliano ya Kanisa imefungua Mitandao ya Kijamii ambayo iko wazi kuanzia sasa kila mtu anaombwa kupitia kwenye ubao wa matangazo Kupata maelekezo.

f) Semina ya malezi ya kiroho kwa Washiriki itafanyika Kanisani Kunduchi Kesho tarehe 12/4/2015 kuanzia saa 3:00 Ashubuhi wahusika ni:- Wazee wa Kanisa, Karani Kanisa, Wahazini, Mashemasi wakuu na Usikivu.

g) Kanisa  Litakuwa na Kikao chake cha Kwanza robo hii ya pili cha Mashauri ya Kanisa Tarehe 19/04/2015 Jumapili kuanzia Saa 6:00Mchana Washiriki wote tunaalikwa. Agenda ni:-
1. Kupitisha Budget ya Kanisa ya Mwaka 2015.  
2. Kupitisha Mipango ya Ujenzi wa Kanisa.
3. Kupitia Uhai wa washiki wa Kanisa.
Pia Tunapokea Agenda Binafsi kutoka Washiriki mwenye Agenda Awasilishe Karani wa Kanisa.

h) Kwaya Kanisa itakwenda kurekodi AUDIO ya Wimbo wa Albino Siku ya Jumapili tarehe 12/4/2015 kuanzia Asubuhi.

5) UHAMISHO
    Tunatangaza kwa mara ya pili uhamisho wa Washiriki kutoka Lugalo kwenda Makanisa mbalimbali kama ifuatavyo:-
(i)     Ezekiel Kanire –kwenda Dodoma Kati
(ii)       Joyce Karigo – Kwenda salasala
(iii)    Samweli Oyugi – Kwenda Bunju

6) WAHUDUMU KATI KATI YA WIKI
JUMATANO
IJUMAA
Pius Mtabazi
Barnabas Kazi

7)WAHUDUMU WA SABATO 18/04/2015                                                                                
NAFASI
JINA
Mhubiri
Edson Ngalla
M/kiti
Samweli Silas
F/ kuu
Magesa Mbogola
Sadaka
Joseph Majinge

8)WAHUDUMU WA WATOTO 18/04/2015
NAFASI
JINA
Mhubiri
Penina Mkama
M/kiti
Meshack Kazimoto
F/ kuu
Rebecca Mossy
Sadaka
Mercy Dickson

9)MASHEMASI WA ZAMU 12 -18/04/2015
Rebecca Mbile
Esther Masero
Elirehema Silas
Josia Jeremia

10) MZEE WA ZAMU TRH  12 - 18/04/2015
STEVEN ODERO

KARANI WA ZAMU- YUTROPIA MANU

MHAZINI WA ZAMU- NEEMA ANDREW

TUMIA MITANDAO HII YA KANISA LA LUGALO KUPATA HABARI ZA KANISA
Blogspot:-  lugalosdachurch.blogspot.com
Facebook:-Lugalo Seventh-day Adventist church (Like/follow)
Twitter page:- @Lugalosdachurch (follow us)





No comments:

Post a Comment