Thursday, May 21, 2015

LUGALO SDA CHURCH CHOIR- TUUNGANE PAMOJA KATIKA KUPINGA MAUAJI YA ALBINO

Hapo juu ni moja ya kazi ya kanisa la waadventista wa sabato Lugalo katika harakati ya kupinga mauaji ya albino Tanzania share video hii kuonyesha kuwa tupo pamoja katika kutokomeza hii dhana ya kuwauwa wenzetu kisa kupata mali na imani za kishirikina

No comments:

Post a Comment