Thursday, April 16, 2015

MATANGAZO YA KANISA LUGALO SDA 18/04/2015


KANISA LA WAADVENTISTA WASBATO LUGALO
P.O.BOX 60052, DAR ES SALAAM
Email: lugalosdachurch@gmail.com Mobile 0763-366622 & 0717- 172238
MAT/LGL/SDA/S –16 TAREHE 18 APR  2015







 













                                                                                                               
 1.UKARIBISHO: Tunawakaribisha wageni na
         wenyeji  wote katika Ibada takatifu  ya leo

2.WAHUDUMU WA LEO  TRH18/04/2015     
NAFASI
LUGALO
Mhubiri
Pr S. Wana
M/Kiti
Samweli Silas
F/ Kuu
Magesa Mbogola
Sadaka
Joseph Majinge

 3) MASHEMASI WA ZAMU 18/04/2015       
Rebecca Mbile
Esther Masero
Elirehema Silas
Josia Jeremia

4)WAHUDUMU WA WATOTO  18/04/2015      
NAFASI
JINA
Mhubiri
Penina Mkama
M/kiti
Meshack Kazimoto
F/ kuu
Rebecca Mossy
Sadaka
Mercy Dickson

4) MATANGAZO YA KANISA
a).Maombi  ya kila siku  J,pili Alfajiri yanaendelea, Jumapili  Saa 11:30 -12:00 Asubuhi kipindi hicho cha maombi kitaongozwa na.KAZI BARNABAS.

b) Usomaji wa Biblia kwa  Mpango unaendelea na wiki hii tunasoma kitabu cha Waefeso 1 – Filipi 6.

c) Wakuu wote wa Idara wanaombwa kukutana na Mhazini wa Kanisa Mara tu ya Ibada ya leo.
d)  Chama ya Dorkasi Kinawakumbusha Washiriki wanaohitaji Kuweka Order ya chakula kila sabato wamuone Matrida Charles Kabla ya Jumatano ghasrama ya kila Sahani ni Tshs 1500/= na Tshs 2,000/=.
e ) Kapu la Idara ya Mashemasi litafanyika tarehe 25/4/2015 yeyote mwenye kusaidia anaombwa kuleta vitu au fedha sabato ijayo.
f)  Idara ya Vijana watakuwa na Tamasha la Michezo litakalofanyika tarehe 26/04/2015 katika Viwanja vya Tanganyka Parkasi kuanzia Saa 03;00 hadi Saa 11.Kwa hiyo vijana wote wanaombwa kukutana leo saa 9:00 kupanga Maandalizi.
g)  Kanisa  Litakuwa na Kikao chake cha Kwanza robo hii ya pili cha Mashauri ya Kanisa Tarehe 19/04/2015 Jumapili kuanzia Saa 6:00Mchana Washiriki wote tunaalikwa. Agenda ni:-
1. Kupitisha Budget ya Kanisa ya Mwaka 2015.  
2. Kupitisha Mipango ya Ujenzi wa Kanisa.
3. Kupitia Uhai wa washiki wa Kanisa.
Mwisho wa kupokea Agenda Binafsi kutoka Washiriki ni leo saa 10:00 Ijioni Agenda zote zipelekwe kwa Karani wa Kanisa.
h)  Kwaya Kanisa imerekodi AUDIO ya Wimbo wa Albino Siku ya Jumapili tarehe 12/4/2015.
5) TANZIA
    Mshiriki wetu Mrs Nyaruga amefiwa na Kaka yake amesafiri kwenda Musoma kwenye Mazishi tumkumbuke kwa Maombi.

6) WAHUDUMU KATI KATI YA WIKI
JUMATANO
IJUMAA
Pius Mtabazi
Barnabas Kazi

7)WAHUDUMU WA SABATO 25/04/2015                                                                                
NAFASI
JINA
Mhubiri
Edson Ngalla
M/kiti
Furaha Luhambati
F/ kuu
Herman Henyura
Sadaka
Magesa Mbogola

8)WAHUDUMU WA WATOTO 25/04/2015
NAFASI
JINA
Mhubiri
Godfrey Nyambita
M/kiti
Steven Peter Mossy
F/ kuu
Ruth Mtabazi
Sadaka
Bahati James

9)MASHEMASI WA ZAMU 19 - 25/04/2015
Ambakisye Lwesye
Eliya Sospeter
Annagrace Bwire
Esther Masero

10) MZEE WA ZAMU TRH  19 -25/04/2015
GODFREY NYAMBITA

KARANI WA ZAMU- AMOSI C. MOSSY

MHAZINI WA ZAMU- EZEKIEL JOHN

TUMIA MITANDAO HII YA KANISA LA LUGALO KUPATA HABARI ZA KANISA
Blogspot:-  lugalosdachurch.blogspot.com
Facebook:-Lugalo Seventh-Day Adventist Church (Like/follow)
Twitter page:- @Lugalosdachurch (follow us)






No comments:

Post a Comment